Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali

Mwanafunzi Nifanye Nini?

Mwanafunzi:       Mkufunzi wajiani, mtihani wazuzua?

                           Nikiona juu chini, jibu haliji sawia

                           Mwalimu waleta nini, jasho sis kututoa

                           Mwalimu nifanye nini, mtihani wasumbua.

 

Mkufunzi :       Pole sana ntot’angu, lakini kazana sana

                          Uki taka cha mvunguni, sharti inama sana

                          Huruma nyingi za kwangu, hazitakupa kupona

                          Ni mchumia kwa jua,kivulini ala.

 

Mwanafunzi:        Mwalimu hata ni humo, lakini mambo mzungu

                           Nifanye nini masomo, yakae bongoni mwangu?

                           Bidii ypte I mumo, nilipewa naye Mungu

                           Mwalimu nifanye nini, mtihani wasumbua.

 

Mkufunzi:         Na watoto pulikeni, hamushiki mashikoni

                           Wakati wa masomoni, mwaporomosha yoweni

                            Ifike mthihani, nje meno mwatoeni

                            Asosikia mkuu, huvunjika mguunu.

 

Mwanafunzi:        Mwalimu sasa ‘merudi, leo taenda kitali

                            Nyumbani siwezi rudi, baba ni samba mkali

                            Kosa langu hunirudi, mwalimu hata wavyeli

                            Mwalimu nifanye nini, mtihani wasumbua.

 

Mkufunzi:          Nafasi ndiyo azizi, utyumie kwa faida

                            Wanaumia wazazi, pesangi kuwalipia

                            Fahari yao wazazi, ni watoto wengi pia.

                            Jina li bora sheleni, kadhalika na nyumbani.

 

 

Mwanafunzi:      Ahsante sana mwalimu, masomoni takazana

                           Kelele ni debe mumu, kitendo husema sana

                           Bongo kitabu kalamu, tatumia sana sana

                           Walimu na wazazingu, masomoni nitapambana.

MASWALI

  1. Eleza hili ni shairi la aina gani?(al 2)
  2. Bainisha aina za urudiaji katika shairi hili (al 3)
  3. Eleza muundo wa shairi hili (al 3)
  4. Eleza huku ukitoa mfano mbinu zozote tatu za lugha zilizotumika (al 3)
  5. Taja na utolee mifano mitatu uhuru wa kishairi uliotumika (al 3)
  6. Andika ubeti wa kwanza kwa lugha nathari (al 4)
  7. Taja toni ya shairi hili (al 1)
  8. Eleza msamiati ufuatao kama ulivyotumika katika shairi (al 1)

i)  pulikani                 ii)  kitali

MAJIBU

Upgrade or Subscribe

Oops! Unlock More Access Rights:

If you find that you are not subscribed, consider upgrading your account or subscribing to the necessary plan to gain access.

Key South African Nationalists and the Liberation Struggle

Key South African Nationalists and the Liberation Struggle

South African Nationalists Key South African Nationalists and the Liberation Struggle Prominent Nati…

Key South African Nationalists

Key South African Nationalists

🧭 Table of Contents Key South African Nationalists 1. Key Figures of South African Nationalism …

Nationalism in South Africa: Self Assessment Test

Nationalism in South Africa: Self Assessment Test

Upgrade or Subscribe Oops! Unlock More Access Rights: If you find that you are not…

Nationalism in South Africa

Nationalism in South Africa

🌍 Nationalism in South Africa The development of nationalism in South Africa was uniquely complex…

Mozambique Nationalism: Self-Assessment Test

Mozambique Nationalism: Self-Assessment Test

Mozambique Nationalism Quiz Mozambique Nationalism Quiz 🇲🇿 Test your knowledge about Mozambique&#821…

EUROPEAN-INVASION-AND-THE-PROCESS-OF-COLONIZATION-OF-AFRICA4.jpg

Nationalism in Mozambique: The Long Road to Independence

🇲🇿 Nationalism in Mozambique: The Long Road to Independence Mozambique was among the last African…

1 2 3 188
Elimu Assistant Team

By Elimu Assistant Team

Get in Touch!If you need any educational resources, feel free to reach out directly. I'm here to help!Name: Mr. Atika Email: nyamotima@yahoo.com Phone: 📞 0728 450 425Let’s empower your learning journey together!

Leave a Reply