Eleza maana ya istilahi zifuatazo za fasihi simulizi
(i) Hurafa (al 2
(ii) Hekaya (al 2
(iii) Soga (al 2
(iv) Mighani (al 2
Fafanua kwa kina sifa sita kuu za mtambaji bora wa hadithi (al 12)
a) Fafanua maana ya vitendawili (al 2)
b) Eleza aina kuu za vitendawilli (al 6)
c) Fafanua mbinu nne ambazo hutumika kuzua misimu (al 8)
d) Taja njia ambazo jamii ya sasa inatumia kuhifadhi fasihi simulizi (al 4)