FASIHI SIMULIZI.
(a)
Nini maana ya mafumbo? (alama 2)
(b) Eleza umuhimu wa mafumbo katika jamii. (alama 6)
(c) Fafanua matatizo yoyote sita yanaikabili fasihi simulizi katika jamii ya sasa. (alama 12)